UCHAMBUZI WA SHAFFIH DAUDA JUU YA MECHI YA JANADAR- PACHA IMEIONYESHA DUNIA MSISIMKO WA SOKA NCHINI TANZANIA - HUKU REFA AKITIA AIBU
https://menacotz.blogspot.com/2012/10/uchambuzi-wa-shaffih-dauda-juu-ya-mechi.html
.Wachezaji walishindwa kutambua umuhimu wa mchezo huo
. Mwamuzi alikuwa zaidi ya ‘kituko’
.Kwa nini Haruna Moshi na Mwasika walimaliza mchezo?
Mbele
ya mashabiki zaidi ya 50,000 timu za soka za Yanga na Simba zilicheza
soka la ‘aibu’ uku wakionekana kama vile wanacheza mchezo wa ‘rugby’.
Baada
ya penati iliyopigwa na mshambuliaji Said Bahanuzi kuipatia Yanga bao
la kusawazisha mwishoni mwa kipindi cha pili, kiujumla timu hizo ambazo
zinachukuliwa kama kioo cha soka la bongo hazikuonesha soka lolote zaidi
ya kucheza kibabe na kukamiana tu.
Upande wa pili mwamuzi alishindwa kuyatolea adhabu sahihi baadhi ya matukio makubwa kwenye mchezo huo, Haruna Moshi aliyeingia dakika 20 za mwisho alistahili kuonyeshwa kadi
nyekundu, alimrukia kwa makusudi beki wa Yanga, Kelvin Yondan na ni
dhahiri alitaka kumvunja. Ni aibu ambayo dunia imeishuhudia, lakini
tumepata fursa nzuri ya kutangaza ‘msisimko’ uliopo katika mpira wetu
kutoka kwa mashabiki. SOMA HABARI KAMILI HAPA>>>>>>
Post a Comment