KILA LA HERI WANA-SAUT TABORA (AMUCTA) KWENYE MITIHANI YENU YA UE

NAWATAKIA KILA LA HERI  KWENYE MITIHANI YENU INAYOANZA KESHO WANACHUO WOTE WA SAUT TABORA (AMUCTA)


KATIKA SALAMU ZANGU NAOMBA UZINGATIE HAYA

 >MWOMBE MUNGU AKULINDE KIPINDI CHOTE CHA MTIHANI

>MWOMBE ROHO MTAKATIFU AKUKUMBUSHE PALE UNAPOSAHAU

>JIPE MOYO KWA KILA KITU ULICHOSOMA

>WAHI KWENYE CHUMBA CHA MTIHANI ILI KUEPUSHA USUMBUFU USIO WA LAZIMA

>ONDOA HOFU NA JIAMINI YA KUWA UNAWEZA

>AMINI KUWA UNAWEZA, 


MUNGU AWE PAMOJA NAWE KWENYE MITIHANI YAKO YOTE 

MESHACK JACKSON
C.E.O 
MeNaco.com


Related

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in weekRecentBLOG ZINGINE

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item