SIMBA WAKUTANA NA MDHAMINI WA SAFARI YAO NCHINI OMAN

Rahma al Kharoos ambaye hivi karibuni alichaguliwa kuwa mjumbe wa kamati ya utendaji ya simba, leo jioni alitembelea mazoezi ya Simba kwenye uwanja wa Oman Club
Rahma pia ndiye mmiliki wa RBP Oil, aliwahi kuwa mdhamini mkuu wa Twiga Stars, pia aliwahi kuwa mmoja wa wamiliki wa African Lyon..ni kati ya wapenda michezo.
Pia ndiye aliyeidhamini safari yote ya Simba hapa Oman kwa kuwalipia hoteli, tiketi pamoja na chakula kwa muda wote wa siku 14 watakazokuwa hapa.


PICHA NA SALEHE ALLY WA CHAMPION

Related

YANGA YA UTURUKI YAICHAPA BLACK LEOPARD YA SOUTH AFRICA 3-2

  >>>Yanga 3-2 Black Leopard  Golikipa wa timu ya Black Leopards,Ayanda Mtshali akijaribu kuokoa mpira uliotinga kimiani kwa njia ya penati na m...

NEWZZ!!!EMANUEL OKWI AUZWA RASMI KWA DOLA 300,000 HUKO TUNISIA

Sakata la mchezaji wa kimataifa wa Uganda anayeichezea klabu bingwa ya Tanzania Bara Simba SC, Emmanuel Okwi kwenda kujiunga na kambi ya Simba iliyopo nchini Oman limefikia mwisho. Kwa taari...

RATIBA YA AFCON 2013 SOUTH AFRICA

Michuano hii itaanza rasmi jumamosi ya Tarehe 19 Januari hadi 10 Februari Group A: 1. Afrika Kusini | P: 0 | Pointi: 0 2. Morocco       | P: 0 | Pointi: 0 3. Ango...

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in weekRecentBLOG ZINGINE

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item