MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012 LIVE LEO HII

 
KWA WANAFUNZI WOTE WA FORM FOUR 2012, TUNAPENDA KUWA TAARIFU YAKUWA MATOKEO YA NECTA YATAKUWA LEO HII NA HII IMETHIBITISHWA NA  NECTA WENYEWE
  

HII HAPA CHINI NI TAARIFA YAO KUPITIA PAGE YAO YA FACEBOOK

 "Habari za mchana. Shughuli ya kuingiza matokeo kwenye tovuti yetu bado inaendelea na kwa kiasi kikubwa imekamilika. Kama alivyosema msemaji wetu, tunajitahidi watahiniwa wa kidato cha nne mwaka 2012 waweze kupata matokeo yao leo hii.
Mchana mwema"


HIVYO ENDELEA KUFUATILIA MTANDAO HUU NA PUNDE TUTAKULETEA MATOKEO YOTE SOON TU YAKITOKA


Related

NECTA 2012 8731920592803234648

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item