BREAKING NEWZ::::AJALI MBAYA YA BASI LA SUMMRY HII LEO HUKO MBEYA

USHAHIDI WA PICHA,
MOJA YA MAJERUHI BENO GILBET MKAZI WA ZANZIBAR ALIKUWA ANATOKEA SUMBAWAGA KWENDA ZANZIBAR SASA AMELAZWA KATIKA HOSPITALI YA TEULE YA IFISI |
MAJERUHI MUSA KAPINUKE |
MAJERUHI CHALES KAUZENI 15 |
MUUGUZI ELMAT KAKAKU AMESEMA WAMEPOKEA MAJERUHI 47 KATI YA HAO WAWILI WAMEPELEWA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA BAADA YA HALI ZAO KUWA MBAYA ZAIDI |
HABARI KAMILI YA AJALI HII TUTAWAFAHAMISHA BADO TUNAFUATILIA PICHA NA MBEYA YETU |
1 comment
hakika inatupasa kuombea walio safarin!
Post a Comment