TANESCO WAZIDI KUITESA MWANZA

 >> SHUGHULI ZA UCHUMI ZAKWAMA, 

>>WAKAZI WA JIJI WALALAMIKA

                   










Hali ya umeme inazidi kulitesa jiji la Mwanza kwa takribani siku tano sasa, umeme umekuwa si wa uhakika, huku jamii ya wakazi wa jiji hili la miamba wakizidi kulalama na kudai TANESCO hawatendei haki wakazi wa jiji. hata hivyo hakuna sababau za msingi ambazo TANESCO wamezitoa kwa wakazi wa ROCK CITY juu ya tatizo la umeme, kwani shughuli nyingi za uchumi ambazo hufanywa na wakazi wa jiji hili zina kwama kulinga na ukosekanaji wa umeme wa uhakika.

juhudi za kuwapata wahusika wa TANESCO ili kuelezea nini chanzo cha kukatika kwa umeme, ila hawakupatikana.


JE NDO TUSEME MGAO UMEAANZAAAA????????????

MIMI NA WEWE HATUJUI, ILA TUWAOMBE TANESCO WATUJULISHE NINI TATIZO

Related

TANESCO 7023521542325402194

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item