Kijiji & Kambi La Ngono Lagundulika Mbagala: Mwanamke Mmoja Akutwa Akifanya Mapenzi na Wanaume 2

Kijiji hicho kipo Mbagala Zakhem, jijini Dar, wasichana kwa wavulana huenda maeneo hayo kwa ajili ya kujiburudisha kwa starehe ya ngono ambapo kuna majengo kabisa kwa ajili ya shughuli hii ambayo hufanyika maeneo hayo pia kuna baadhi ya wanafunzi wa shule za sekondari amabo bado hawajafahamika huja hapo na kufanya biashara hiyo chafu.

Operesheni iliyofanywa na waandishi wa habari kutoka media tofauti kwa kushirikiana na jeshi la polisi Jumamosi iliyopita usiku ambapo ilifanikiwa kuwanasa baadhi ya vijana akiwemo mwanamke mmoja aliyekutwa akifanya ngono na wanaume wawili (walio pichani).

Hata hivyo, kundi la watu kama wanane wakiwa na nguo mikononi walitimua mbio baada ya kuona polisi wamevamia chumba kimoja kilichotengenezwa kwa uzio wa vipande vya magunia chakavu na makaratasi walichokuwa wakikitumia kufanyia ngono.Jeshi la polisi walifanikiwa kuwakamata watu watatu, wanaume wawili pamoja na mwanamke aliyejitambulisha kwa jina moja la Semeni waliyekuwa wakifanya naye mapenzi.

Baada ya kuwatia mbaroni watu hao na kuwafanyia upekuzi, walikutwa na kondom amabzo hutumia wakati wa kufanya starehe zao katika kijiji hicho na vipisi vya bangi.Polisi walipo mhoji Mwanamke huyo( Semeni) alisema vijana hao walimlipa shilingi 5,000 kila mmoja baada ya kumaliza kazi pia akiweza kumtaja mmiliki wa eneo hilo anayejulikana kwa jina moja tu la babu Babu baada ya kumaliza kutumia baadhi ya vyumba vya kijiji hicho humlipa shilingi 2,000 ikiwa kama kodi ya kutumia vyumba hivyo.





credit to Aloy Son Blog

Related

UKAHABA 1971180382669460821

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item