BREAKING NEWZ:::MWANAFUNZI AJINYONGA SAUT-MWANZA

Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza BAED I (SAUT MWANZA), amejinyonga juzi usiku kwenye mida ya saa 8 au saa 9. na mpka tunaenda mtandaoni sababu za kujinyonga zilikuwa bado hazijaelezwa. kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari cha kuaminika ni kwamba taarifa zilitolewa kwa wanafunzi bila kuelezwa chanzo cha kujinyonga kwa kijana huyo ambaye hata jina lake lilikuwa halijajulikana rasmi. mwanafunzi huyu anadaiwa kujifanyia ukatili huu ndani ya chumba chake. 

Tutaendelea kuwafahamisha kadri tutakavyopata taarifa.

Related

VIFO 4751452932641042561

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item