RONALDO KURUDISHWA OLD TRAFFORD NA MASHABIKI

Kasi ya kumrudisha nyota wa zamani wa Manchester United anayekipiga Real Madrid Christiano Ronaldo sasa imepamba moto baada ya mashabiki wa United kufungua mtandao wa kuchangisha hela kwa kuuza T-shirt za Manchester United zenye jina la Ronaldo kupitia mtandao wa www.bringRonaldoHome.org! . Angalia
Video hii kwa taarifa zaidi
Watch "BRING RONALDO HOME - MAKE THE PLEDGE" on YouTube
Post a Comment