SEMINAR YA UJASIRIAMALI YAENDELEA CHUO KIKUU CHA SAUT TABORA

Semina ya ujasiriamali ambayo ilianza toka jana hapa Tabora leo yafikia siku ya pili na mwisho, wanafunzi wengi wa chuo hiki wamejitokeza kuhudhuria seminar hii muhimu kwa vijana ambao wanatarajia kuwa wajasiriamali wa baadae hususani kwa mwaka wa tatu wa hapa chuoni.
hapa chini ni baadhi ya picha za matukio ya leo




Post a Comment