MAJINA YALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2012 HAWA HAPA

Majina ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano na vyuo yawekwa hadharani

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi nchini, imeweka hadharani majina ya wanafunzi ambao wamechaguliwa kujiunga na shule mbalimbali kwa ajili ya kuendelea na elimu ya sekondari kidato cha tano, sanjari na vyuo.
Orodha hiyo imetangazwa jijini Dar es salaam leo, ambapo idadi ya wasichana waliochaguliwa kwa nafasi hizo ni 9,378, waliochaguliwa katika machaguo 13 ya masomo mbalimbali ya kidato cha tano na masomo 11 ya vyuo vya ufundi.
Shule zilizopangiwa wanafunzi ni 201, ambapo shule za wasichana pekee ni 61, huku shule 34 zikiwa za jinsia zote mbili, wasichana na wavulana.
Idadi ya wanafunzi wavulana waliochaguliwa katika machaguo 13 ya masomo mbalimbali ya ngazi hiyo, ni 22,138.
Bonyeza hapa kupata orodha ya wanafunzi wasichana waliochaguliwa na hapa kwa wavulana.






VN:F [1.9.15_1155]

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item