RAIS JAKAYA KIKWETE AWAAPISHA WAJUMBE WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA MPYA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
https://menacotz.blogspot.com/2012/04/rais-jakaya-kikwete-awaapisha-wajumbe.html
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Jaji Joseph Sinde Warioba,
kuwa Mwenyekiti wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya,
wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es
Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Jaji Agustin Ramadhan, kuwa
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya,

Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Fatma Said Ali, kuwa
Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa
hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam
leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Maria Malingumu Kashonda,
kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya,
wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es
Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete na Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
wakiwapongeza wajumbe wa Tume hiyo baada ya kuapishwa rasmi katika hafla
fupi iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, Makamu wake, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, na Makamu wake wawili, Maalim
Seif na Balozi Seif Idd, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakiwa katika picha
ya pamoja kwa kumbukumbu na Viongozi wateule na wajumbe wa Tume hiyo
baada ya kuapishwa rasmi. Tume hiyo inatarajia kuanza kazi rasmi Mei 01,
mwaka huu.
Post a Comment