SAUDA MWILIMA AFUNGA NDOA NA KAULI JUMA


Sauda Mwilima akishuka kwenye gari kuelekea ukumbini.
...Akitoa ‘tabasamu la mwaka’.
...Akielekea ukumbini.
Bwana harusi (katikati koti jeusi)…
Sauda Mwilima akishuka kwenye gari kuelekea ukumbini.
...Akitoa ‘tabasamu la mwaka’.
...Akielekea ukumbini.
Bwana harusi (katikati koti jeusi) akimsikiliza sheikh.
..Akiulizwa kama yuko tayari kumpokea Sauda.
Sauda katika pozi.
...Akipokea shairi kutoka kwa Maua Faki aliyelisoma katika hafla hiyo.
...Akiwa na mama yake mzazi.
...Akiwa na mpambe wake, Hadija Shaibu (Dida).
...Akiwa na mumewe baada ya ndoa.
Wakitabasamu kwa pamoja.
Hapa akisoma  msaafu.
SHAMRASHAMRA za aina yake zilivuma leo katika ukumbi wa Cutch uliopo maeneo ya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam baada ya mtangazaji wa Star TV, Sauda Mwilima, kufunga ndoa na Kauli Juma.
Ndoa hiyo iliyofungwa baada ya swala ya Ijumaa ilihudhuriwa na watu mbalimbali wakati sherehe ikifanyika ukumbi wa Makuti uliopo Msasani.

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item