Vodacom Miss Tanzania Tabora 2011

Kile kinyang'anyiro cha kutafuta mrembo wa Tanzania kupitia hapa mkoani Tabora zinafikia kilele chake ijumaa wiki hii katika ukumbi maarufu wa Royal garden. Kinyang'anyiro hicho kitakacho hudhuriwa na wasanii mbalimbali wa hapa Tabora na wengine kutoka dar kama Steve r & b,na wengineo wengi. Katika kile kinachodaiwa kuvuta hisia za washiriki na mashabiki ni ile hali ya washiriki kutoka vyuo kama SAUT, UHAZIRI na Chuo cha Musoma utalíi. Mmoja wa washiriki wa shindano hilo kutoka SAUT Flora Mollel alipohojiwa na blog hii alisema amejiandaa na shindano hilo na amedai atashinda maana amewaona washiriki wenzako na kubaini kuwa ni wakawaida saana. Sasa shindano ndio hilo limefika nani ataibuka mshindi. Toa maoni yako.

Related

Download 4720553015915885957

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item