
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Maombo ya Ndani, Shamsi Nahodha, Bunge mjini Dodoma Juni 28, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akiteta na Katibu Mkuu katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Peniel Lymo kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment