WANAFUNZI AMUCTA WAPOKEA KWA HISIA TOFAUTI TANGAZO LA KUTOKUVAA SURUALI KWA WASICHANA DARSANI
https://menacotz.blogspot.com/2011/06/wanafunzi-amucta-apokea-kwa-hisia.html
na, Sir meja, tabora
baada ya kusikia tangazo kwenye vyombo vya habari leo asubuhi hususani kwenye magzaeti ya kuwa wasichana sasa hawata ruhusiwa kuingia darasani na suruali darasni, baadhi ya wanafunzi wa chuo kikuu cha saut-tabora wamepokea tangazo hilo kwa hisia tofauti kabisa, akiongea na blog hii na website pacha ya mkiko online.com walisema ya kuwa tangazo hilo limewaathiri kwa kiasi kikubwa wanafunzi ambao wamekuwa na desturi ya kuvaa suruali na nguo fupi darasani.
hata hivyo baadhi ya wanafunzi ambao wanadaiwa kupendelea kuvaa suruali darasni walipo ulizwa na blog hii walisema ya kuwa, wao wamekuja kusoma suala ya kuwa umevaaje haliwahusu malecturer ila wao wafundishe tu, aqkiongea huku akikataa jina lake kutajwa hewani mwanafunzi mmoja mabaye pia ni kiongozi katika serikali ya wanafunzi ya AMUCTASO kama waziri alisema ya kuwa " mimi sioni tatizo kwa wanafunzi kuvaa suruali darasani bali wanfunzi wave suruali ambazo zinafaa na sio za kubana saana"
hata hivyo baadhi ya wavulana wa chuoni ahap walipoulizwa kutoa maoni yao juu ya kama wanaunga mkono tangazo au la kila mmoja laikuwa na maoni tofauti
" kwa kiasi kikubwa mimi naona kama hakkuna tatizo kwa wanafunzi kuvaa suruali darasani" lisema 'hunters'mmoja wa wanafunzi wa chuoni hapa lakini wengi wao walionekana kuwa na majibu ya kuunga mkono tangazo hilo " ni kweli na ni vizuri wakazuiwa kuvaa suruali maana hata juzi waqkati tuko kwenye history dada mmoja alisimama watu wote wakawa wamepoteza dira ya mawazo kwa jinsi alivyo vaa, so mimi naunga mkono tangazo"
hat hivyo inaonekana watu wengi hawakulisikia tangazo hilo na hivyo wasichana waliokuja na suruali darasani wakati wa test walikuwa wakikumbushwa na wenzao kwenda kuvaa sketi

Post a Comment