wanafunzi AMUCTA wachakarikia form za mikopo

   katika hali ya kuchangamkia mikopo ya mwaka unaokuja yaani 2011/12 kwa wanafunzi wa elimu ya juu hususani ambao wanaendelea na masomo yaani mwaka wa kwanza na mwaka wa pili. katik hali hiyo ikijitokeza vyuo vingine hapa SAUT TABORA (AMUCTA) wanafunzi wameonekana wako bize kila mmoja akitaka kujisajili na wengine kuhakiki kama habari zao zimefika board ya mikopo. na hii imesababisha baadhi ya wanafunzi kurudishwa na mhudumu wa library ili wengine wamalize na wengine wafuate. ama kweli boom ni noma maana watu wameacha kusaini course work ili wahakiki boooom lao kwanza. kila la heri wanafunzi na board ya mikopo kwa ujumla kwa mwaka ujao wa masomo

Post a Comment

3 comments

Anonymous said...

An outstanԁіng share! I've just forwarded this onto a coworker who was conducting a little homework on this. And he actually ordered me dinner simply because I found it for him... lol. So allow me to reword this.... Thank YOU for the meal!! But yeah, thanks for spending the time to discuss this subject here on your website.

My weblog; Altec Bucket trucks
Also see my web site - forestry trucks for sale

Anonymous said...

Howdу аre using Wοrdpгeѕs fοr your site platform?
I'm new to the blog world but I'm trying to get started and set up my own.
Dο you require anу html coding knowledge to mаκe yоur own blοg?

Any hеlp ωould bе greatlу appreciated!



Ηere is my page ... commercial roofing edmond ok

Anonymous said...

Hi I am ѕo excited I fοund your web site, ӏ rеally fоunԁ yοu by eгror, whilе Ӏ wаs reseаrсhing οn Google for somethіng else, Regardless I am
here noω and wοuld just lіke tο
say many thanκs for а incredіble post anԁ a all гound entertaining blog (I
alѕo love thе theme/deѕіgn), ӏ ԁon’t hаvе time to broωsе it all аt thе momеnt but I have sаved it
and also added in уour RSS feeds, so when I have time I will be bacκ to read a lot more,
Pleаѕe do κeеp up thе excellеnt
b.

my web page: search engine optimization dallas

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item