MAN U VS ENGLAND REVOLUTION 4-0

https://menacotz.blogspot.com/2011/07/man-u-vs-england-revolution-4-0.html
ni mechi ya kwanza ya majaribio ya man u
nakuletea picha za matukio ya mechi hususani wachezaji wa man u

rooooooooooney akiwa anakipiga ndani ya uzi mpya wa MAN U

Kikosi kilichoanza cha MAN U na YOUNG akiwemo

ashley young akikipiga na MAN U jana katika mechi yake ya jana

moja ya goli ambayo yalifungwa jana na man u lilikuwa hili la michael owen

moja ya hekaheka ambazo macheda alizifanya jana baada ya kurudi OT

macheda akishangilia goli lake la kwanza jana

hili ni goal ambalo man u walifungwa jana

mashabiki wa man u wakishangilia kwa kuonesha picha ya rio ferdinand

mashabiki wa man u wakishangilia jana

hivi ndivyo macheda alivyofunga goli lake la pili

hili ni goal la nne ambalo lilifungwa na ji-sung park

Post a Comment