rostam aziz aondoka CCM

https://menacotz.blogspot.com/2011/07/rostam-aziz-aondoka-ccm.html
HATIMAYE MMOJA WA WASHUKIWA WA UFISADI NA ALIYEOMBWA KUJIONDOA NDANI YA ccm MH. rostam aziz AMEJIVUA GAMBA LEO MCHANA HAPO iGUNGA. HATA HIVYO aziz HAJAJIONDOA TUU KWENYE UONGOZI BALI AMEAMUA KUJIONDOA KABISA KWENYE SHUGHULI ZA KISIASA BAADA YA KUSHAURIANA NA WAFANYABIASHARA WENZAKE. HVYO JIMBO LA IGUNGA LIPO WAZI.
Post a Comment