ukarabati wa miundombinu AMUCTA waanza

    miundo mbinu mbalimbali ya chuo kikuu cha AMUCTA umeanza tena kwa nguvu kwaajili ya maandalizi ya mwaka ujao wa masomo. katika hali ya kujali afya za wanachuo, chuo hiki kimeanza ukarabati wa kisima cha maji ambacho ni kikubwa zaudi ya kilichopo. ukarabati huu umeanza mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo tumeshuhudia wakandarasi kutoka majuu "wazungu" wakianza kazi hiyo kwa kasi zaidi. mwaka wa masomo unaanza mnamo mwezi wa tisa kwa kukaribisha jumla ya wanachuo 1300 wapya wa fani ya ualimu na sayansi ya jamii. hata hivyop ukarabati huu umekuwa ukileta kelele eneo la masomo anbapo hapo jana mhadhiri wa ct 108 alisitisha kufundisha na kusubiri hii leo. hivyo basi hii inatupa fursa ya kuwakaribisha wanachuo wa mwaka wa kwanza mwakani katika mazingiras mazuri ya masomo.

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item