HAPPY NEW YEAR AMUCTA
https://menacotz.blogspot.com/2012/01/happy-new-year-amucta.html
Na
Meshack Jackson, Tabora
Napenda kuwapongeza wote mliofanikiwa kuuona mwaka mpya wa 2012, ki ukweli ni wengi waliotamani kuuona huu mwaka lakini wameshindwa. kuna wengine walidakisha aidha dakika au sekunde au masaa kadhaa ili wauone mwaka huu wenye kila njonjo lakini walishindwa. je kweli wewe ni mwema kuliko wenzako walio lala au wewe ni bora kuliko wengine.
Binafsi namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuendelea kuwa hai mpaka sasa. mimi si bora kushinda walio lala bali Mungu bado anahitaji niendelee kutumika kwa ajili yake hapa duniani. Mungu anijalie kuendelea kuwa hai ili siku moja afurahi kwa matunda ambayo nitakuwa nime mzalia hapa duniani.
Hivyo na wewe uwe kama mimi ninavyo mwomba Mungu iwe. Nambie kitu kimoja tu, hivi ni wangapi ambao wameona mwaka mpya na bado hawakuweza kufika popote, kwani leo ni siku ya sada tu tangu mwaka mpya uanze tayari watu wengi wamefariki kwa sababu mbali mbali, wengine kwaajili ya magonjwa, wengine kwaajili ya vita, wengine kwaajili ya ajali. wengine kwa kuamua wenyewe ( kunywa sumu, kujinyonga) kwa sababu mbalimbali kama mapenzi, ugumu wa maishana sababu kadha wa kadha.
kama binadamu uliye hai mshukuru mungu kukuweka hai.
masomo mema jamani

Post a Comment