PICHA ZA MAZISHI YA KANUMBA KATIKA MAKABURI YA KINONDONI DAR ES SALAAM.



Hapa ni baada ya mwili kupelekwa makaburini kinondoni.
Hii ni wakati naingia makaburini, watu walikua wengi sana na inaaminika kwamba ni zaidi ya watu elfu arobaini waliohudhuria leo.
Wengine walikosa nafasi karibu na kaburi la Kanumba.
Maelfu ya watanzania waliotaka kuuona mwili wa Marehemu Kanumba, wote walikosa nafasi ya kuutazama ulipokua Leaders kwa sababu iliamuliwa familia ya Kanumba tu na viongozi wachache wa Serikali ndio wamuage.
.
Wa kwanza kushoto ni Mama mzazi wa Kanumba akisindikizwa kuweka udongo kwenye kaburi la mwanae.
.
.

.
.
Tope lilivyomchafua askari.
Makaburini Kinondoni.
Wakati msiba ukiendelea, hili kundi la vijana lilikua linapita karibu na eneo la mazishi na kuimba "tulidhani shemeji, kumbe muuaji" likimshutumu mwigizaji Lulu ambae anahojiwa na polisi sasa hivi kwa kudaiwa kumsukuma Kanumba mpaka kuanguka.
Barabara ya Kinondoni kulikua na foleni mbili, ya watu na ya magari.
..
.
.
.
.
Hii ilikua wakati wa kuagwa Leaders, picha imepigwa na Djchoka.blogspot.com/ millard ayo

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item