AMUCTA # BREAKING NEWS: ZAWADI ZA BONANZA KUTOLEWA KESHO

baada ya wanamichezo kulalamika kwa muda mrefu juu ya zawadi zao za mashindano ( BONANZA) kuchelewa kutolewa, hatimaye kutolewa live kesho saa 8 mchana, kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari  kinasema kuwa zawadi hizo zilikuwa zitolewe mnamo tarehe tano

moja ya ujumbe ulioandikwa kwenye Facebook ulisomeka hivi

 TANGAZO KWA WAZIRI WA MICHEZO MR.NDURU KWA WANACHUO WOTE SAUT-TABORA KESHO ZAWADI ZA WASHINDI WA BONANZA LA MICHEZO ZINATOLEWA SAA 8 MCHANA HALL 1 UKIPATA TANGAZO HILI WAJULISHE WANA AMUCTA WOTE

"Jamani nazidi kuwasisitizia wana AMUCTA kesho zawadi za washindi wa bonanza kutolewa saa8 mchana hall 1 taarifa kutoka utawalani mpe na mwenzio taarifa kama mim nilivyokupa" moja ya sehemu ya ujumbe ambao unasisitiza kutolewa kwa zawadi

pia kama hiyo haitoshi mtoa taarifa alizidi kutririka na kunitumia ujumbe wa kuwasihi watu kuhudhuria utolewaji wa zawadi

"Kutoka kwa mr.ndulu zawadi za bonanza kutolewa kesho saa8 mchana hall 1 wajulishe marafikio"


BEST WISHES KWA WASHINDI WOTE

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item