HICHI NDICHO WALICHOANDIKA FACEBOOK BAADA YA KUKOSA BOOM

HATIMAE BWANA KATIKIRO AMEAMUA KUIONDOSHA TAARIFA YAKE HAPA JAMVINI! je amekusudia kufikisha ujumbe gani??? je alikurupuka kutoa taarifa ambayo hana uhakika nayo!? iko wapi ile status iliyoletwa na WAZIRI KATIKIRO kuhusu hela ya field!?? think BIG!
· · · 2 hours ago
Kuna upotoshwaji wa taarifa kuhusu BOOM kwa wanafunz wanaotarajia kwenda FIELD kwamba tayari limeshatoka ila kwa taarifa sahihi n kwamba mpaka sasa hamna taarifa za uhakika TAHADHARI tuhifadhi naul zetu kwan taarifa za boom kutoka si za kweli mpaka sasa .. Hii n taarifa kutoka kwa vyanzo vya habari vya chuo. Tutazidi julishana kwa taarifa zaidi.
· · · 2 hours ago via mobile

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item