HUYU NDIO MTOTO ALIEZALIWA NA MIGUU YA MBUZI NIGERIA.



.
Ni siku 13 tu zimepita toka millardayo.com iandike stori kutoka Nigeria kuhusu mama anaedai kujifungua mtoto wa farasi.
Leo stori nyingine iliyoandikwa na mtandao wa Naijagists inamuhusu mwanamke anaedai kujifungua mtoto aliezaliwa kama binaadamu lakini ana miguu na tumbo kama la mbuzi.
Hili tukio limetokea sehemu inaitwa Jahun, Jigawa State, Nigeria ambako huyu mtoto amezaliwa akiwa hana shingo pia.

Hili ni tukio la sept 11 2012 ambayo huyu ndio farasi ambae inadaiwa mwanamke mmoja huko Nigeria anaedaiwa kumzaa ghafla akiwa kanisani baada ya maombi kuwa makali.
Mama wa huyu mtoto anasema hii ni mara ya nne yeye kujifungua watoto wenye maumbo ya ajabu.
Mpaka mara ya mwisho nimechek na Naijagists mtoto huyu alikua amelazwa kitandani hospitalini, millardayo.com inaendelea kufatilia, kikitokea chochote utafahamu kupitia hapa.


chanzo: http://millardayo.com

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item