ACADEMIC NEWZ: BREAKING NEWZZZ# AMUCTA KESHO KUSAINI BOOM

kesho wanachuo wa Chuo kikuu cha SAUT TABORA watasaini BOOM. Akiongea na MeNaco.com Waziri wa FEDHA alikiri kuwepo kwa taarifa hzo. Mh. Katikiro alisema ya kwamba "baada ya muda mrefu tukiwa tunashughulikia suala la Mkopo wa wanachuo, hatimaye tumefikia mahaliu pazuri ambapo kesho wanafunzi watasaini hela zao awamu ya kwanza kwa mwaka huu wa masomo"
    hata hivyo alipoulizwa ya kuwa itakuwa ni muda gani amabao wanafunzi watasaini HARD COPY hiyo, alisema yakuwa itakuwa ni SAA 2 mbili asubuhi



SOMA HABARI KAMILI HAPA>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item