M23 waanza kuzungumza na serikali ya DRC

Waakilishi wa Jamhuri ya Demokrasi ya Congo wameanza mazungumzo na wapiganaji wa M23 mjini Kampala, Uganda.

Viongozi wa Maziwa Makuu wakikutana Kampala mwezi Februari pamoja na Rais Kabila (kushoto)
Waziri wa Ulinzi wa Uganda, Crispus Kiyonga, alisema huo ni mwanzo wa majadiliano baina ya pande hizo mbili.
Wapiganaji wa M23 waliondoka mjini Goma, mashariki mwa Congo, siku nane zilizopita, lakini walitishia kurudi iwapo madai yao hayatasikilizwa.
Rais wa Congo, Joseph Kabila, ameahidi kusikiliza malalamiko yao.
Malaki ya watu wamehama makwao katika ghasia tangu wapiganaji hao walipoasi na kutoka katika jeshi la Congo mwezi wa Aprili.

CHANZO; BBC SWAHILI

Related

KILICHO WAPATA P SQUARE UGANDA,WAAPA KUTOKANYAGA TENA NCHI HIYO

Licha ya kupiga show ya nguvu mjini Kampala, Uganda mwezi uliopita, wasanii wa kundi la P-Square wamedaiwa kuapa kutokanyaga tena ardhi ya Uganda kwaajili ya show.Uamuzi huo wameu...

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in weekRecentBLOG ZINGINE

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item