MJUMBE WA NEC UVCCM TAIFA NA MEYA WA MANISPAA YA ILALA JERRY SILAA AFUNGUA SEMINA YA VIONGOZI WA UVCCM NA KUHUTUBIA MAMIA YA WAKAZI MKOANI MBEYA.



Mjumbe wa NEC UVCCM Taifa Jerry Silaa akipigiwa saluti na Green Guard baada ya kuwasili.

Mjumbe wa NEC UVCCM Taifa Jerry Silaa akisalimiana na wajumbe wa UVCCM mkoa wa Mbeya na pembeni yake ni Mwenyekiti wa UVCCM Mbeya Aman Kajuna.
MNEC UVCCM Taifa Jerry Silaa akifungua semina ya siku mbili ya viongozi wa UVCCM mkoa wa Mbeya. Kushoto ni Aman Kajuna mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Mbeya.
Jerry Silaa akigawa kadi za CCM viwanja vya Nzovwe Jijini Mbeya leo.
Jerry Silaa akihutubia mamia ya wakazi wa eneo la Nzovwe jijini Mbeya.
Jerry Silaa akisalimiana na wananchi Nzovwe Jijini Mbeya.Picha kwa hisani ya Kalulunga Blog).

Related

UVCCM 6437933154576994233

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item