RATIBA YA AFCON 2013 SOUTH AFRICA


Michuano hii itaanza rasmi jumamosi ya Tarehe 19 Januari hadi 10 Februari
Group A:
1. Afrika Kusini | P: 0 | Pointi: 0
2. Morocco       | P: 0 | Pointi: 0
3. Angola         | P: 0 | Pointi: 0
4. Cape Verde  | P: 0 | Pointi: 0
_________________________________________________________
19/01/13:
Afrika Kusini dhidi ya Cape Verde (Saa moja usiku)
Angola dhidi ya Morocco (Saa moja usiku)
23/01/13:
·         Afrika Kusini dhidi ya Angola (Saa Kumi na mbili Jioni)
·         Morocco dhidi ya Cape Verde (Saa Tatu za Usiku)
27/01/13:
Afrika Kusini dhidi ya Morocco (Saa Mbili za Usiku)
Cape Verde dhidi ya Angola (Saa Mbili za Usiku)
Group B
1. Ghana     | P: 0 | Pointi: 0
2. Mali        | P: 0 | Pointi: 0
3. Niger       | P: 0 | Pointi: 0
4. DR Congo | P: 0 | Ponti: 0
_________________________________________________________
20/01/13:
·         Ghana dhidi ya DR Congo (Saa Kumi na Mbili za Jioni)
·         Mali dhidi ya Niger (Saa Tatu za Usiku)
24/01/13:
·         Ghana dhidi ya Mali (Saa Kumi na Mbili za Jioni)
·         Niger dhidi ya DR Congo (Saa Tatu za Usiku)
28/01/13:
Ghana dhidi ya Niger (Saa Mbili za Usiku)
DR Congo dhidi ya Mali (Saa Mbili za Usiku)
Group C
1. Zambia           | P: 0 | Pointi: 0
2. Nigeria           | P: 0 | Pointi: 0
3. Ethiopia         | P: 0 | Pointi: 0
4. Burkina Faso | P: 0 | Pointi: 0
_________________________________________________________
21/01/13:
Zambia v Ethiopia (Saa Kumi na Mbili Jioni)
Nigeria v Burkina Faso (1 (Saa Tatu za Usiku)
25/01/13:
·         Zambia dhidi ya Nigeria (Saa Kumi na Mbili za Usiku)
·         Burkina Faso dhidi ya Ethiopia (Saa tatu za Usiku)
29/01/13:
·         Zambia dhidi ya Burkina Faso (Saa Mbili za Usiku)
·         Ethiopia dhidi ya Nigeria (Saa Mbili za Usiku)
Group D
1. Ivory Coast   | P: 0 | Pointi: 0
2. Algeria         | P: 0 | Pointi: 0
3. Tunisia         | P: 0 | Pointi: 0
4. Togo            | P: 0 | Pointi: 0
_________________________________________________________
22/01/13:
·         Ivory Coast dhidi ya Togo (1500) ()
·         Tunisia dhidi ya Algeria (1800) ()
26/01/13:
·         Ivory Coast dhidi ya Tunisia (1500) ()
·         Algeria dhidi ya Togo (1800) ()
30/01/13:
·         Ivory Coast dhidi ya Algeria (Saa Mbili za Usiku)
·         Togo dhidi ya Tunisia (Saa Mbili za Usiku)
Quarter-finals
02/02/13:
·         Mshindi wa kundi B kupambana na timu ya pili kundi A (Saa Kumi na Mbili za Usiku)
·         Mshindi wa kundi A kumbana na timu ya pili kundi B (Saa tatu na nusu za Usiku)
03/02/13:
Mshindi wa kundi D dhidi ya timu ya pili kundi C (Saa Kumi na mbili jioni)
Mshindi wa kundi C dhidi ya timu ya pili kundi D ( (Saa tatu na nusu za Usiku)
Semi-finals
06/02/13:
Mshindi wa robo fainali ya pili dhidi ya mshindi wa robo fainali ya tatu saa (Saa Mbili za Usiku)
Mshindi wa robo fainali ya nne dhidi ya mshindi wa robo fainali ya kwanza (Saa tatu na nusu za Usiku)
Third place play-off
09/02/13:
Timu itakayoshindwa katika mechi ya nusu fainali (Saa tatu Usiku)
Final
10/02/13:
Washindi wa mechi ya nusu fainali (Saa Tatu za Usiku)

Related

SOCCER 3098366496581915261

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item