NGASSA NA WENZIE WALIOBAKI WAWASILI KUJIUNGA NA KAMBI YA SIMBA OMAN

Wachezaji wawili wa Simba, Abdallah Seseme (kushoto) na Ramadhan Singano ‘Messi’, wakipokewa na Talib Hilal (kulia) na Ofisa wa Ubalozi wa Tanzania Oman, Abdallah Kilima mara baada ya kuwasili nchini Oman kujiunga na wenzao kambini.
Singano na Seseme wakiwa uwanja wa ndege nchini Oman leo baada ya kutua. Wanasalimiana na waliokwenda kuwapokea.

Related

SOCCER 3119564176648465219

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item