TANGAZO LA KAZI NA MASOMO-TABORA NETWORK TRAINING COLLEGE



>>>Chuo cha TABORA NETWORK (Reg. No. VETA/C.30/1069)


Katika muhula mpya 2013 kimekuandalia mafunzo ya KAZI katika fani mbali mbali.
1. UALIMU WA CHEKECHEA - kozi ya mwaka mmoja na baada ya kuhitimu chuo kitakutafutia kazi yenye mshahara mnono kwenye shule za english medium.
2. HOSPITALITY & TOURISM - kozi ya mwaka mmoja na baada ya kuhitimu chuo kitakutafutia kazi yenye mshahara mnono kwenye Hoteli za ki talii (Dar, zanzibar, arusha, kilimanjaro na mwanza) na kwenye makampuni ya kupokea watalii.
3. STORE KEEPING, ACCOUNTANT, FULL SECRETARIAL COURSE (NABE) up to level III - Kazi zipo, pia ni kozi nzuri kwa walio makazini wanao taka kujiendeleza.
4. COMPUTER APPLICATION (CBET) - Miezi sita, kazi njenje
5. COMPUTER MAINTANANCE (ufundi wa computer) - mika miwili hauna haja ya kuajairiwa, unajiajiri hata ww mwenyewe.
6.COMPUTER SHORT COURSE - miezi mitatu
7. FRENCH & ENGLISH LANGUAGES - miezi mitatu.

NB: CHUO KINATOA mafunzo ya COMPUTER pamoja na lugha za KIFARANSA NA KINGEREZA BURE, kwa wanafunzi wote wa kozi ndefu.
Pia Chuo sio tu kinawatafutia field wanafunzi wote, ila ni jukumu letu kuhakikisha WANACHUO WETU WOTE WALO FAULU WANAPATA KAZI.

kwa maelezo zaidi piga; 0753-155372/0754-697620/0784-765826
karibu sana:

PAMOJA TUJENGE TAIFA

Related

TANGAZO 4767441301460767615

Post a Comment

1 comment

Unknown said...

u doing gud if only this is true.

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item