Vibonde wa Yanga waichapa Simba 1-0 >> MASHABIKI WALITEGEMEA TIMU ILIYOENDA OMAN >>>>> WALISHANGAA KUWAONA SIMBA B


Mshambuliaji wa Simba Ramadhan Singano (Messi),kushoto akijaribu kumtoka beki wa Blach Leopard Vicent Mabusera katika mechi ya Kimataifa ya kirafiki inayoendelea hivi sasa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Picha na Jackson Odoyo 
KLABU ya Simba imefungwa bao 1-0 na vibonde waliofungwa jumla ya mabao 5-3 na Yanga timu ya Black Leopard ya Afrika Kusini.
Simba ambayo imechezesha wachezaji wa timu B katika mechi hiyo imeshindwa kupenya ngome ya viponde hao, badala yake wakaruhusu bao hilo lililotokana na makosa ya beki Hassan Isiaka aliyeshindwa kuokoa mpira na kuitumbukiza wavuni.
Mechi hiyo iliyoanza saa 11 jioni katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam,iilianza kwa kasi huku vijana hao wa msimbazi wakijaribu kutafuta magoli ya haraka.
Matokeo hayo yamedumu mpaka dakika 90 zinamalizika, hata hivyo Kitendo cha Simba kuchezesha timu B katika mechi hiyo imeonekana kuwakera mashabiki wa timu hiyo.

Related

SOCCER 2427201352008547994

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item