Al-jazeera islamic center yaishukia mtanzania

Kituo cha Al-Jazeera Islamic Center kimekanusha vikali tuhuma zilizoandikwa na gazeti la Mtanzania,Shekh Ramadhan Salum Mazige amesema kuwa habari hizo ni za uzushi na pia wamelipa gazeti la Mtanzania siku saba kuthibitisha ukweli wa habari ilizoziandika vinginevyo wataliburuza mahakamani.Pamoja na hayo mkurugenzi wa kituo hicho amesema kuwa gazeti hilo lisiwe chanzo cha kuchochea vurugu bila ya tija yeyote.
Mtazamo wangu:Naamini MTANZANIA WATAKUJA NA USHAHIDI KUTHIBITISHA WALOANDIKA JUU YA KITUO HIKI KUFUNDISHA UGAIDI NA KUINGIZA SILAHA NCHINI KIMAGENDO.
SOSI:AMPLIFAYA-CLOUDS FM

Related

BREAKING NEWZ 7825396833834283010

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item