HII NDIO KAZI TULIYOWATUMA WABUNGE WAKAIFANYE BUNGENI?????????????? >>>> HII NI AIBU KWA NCHI MASIKINI KAMA TANZANIA
https://menacotz.blogspot.com/2013/02/hii-ndio-kazi-tuliyowatuma-wabunge.html
Huu ni utumiaji wa mali za umma vibaya, mbunge mnaenda bungeni kwaajili ya kujadili mambo muhimu yanayohusu taifa nyie mnaanza kufanya interest then, kweli watanzania tutafika kule tunakotaka kufika au ndio utakuwa mwendo huu mpaka 2015 then tukiwapa kura wanafanya wanayoyajua wao bila kujali maslahi ya taifa.
WATANZANIA TUUNGANE TUSEME HAPANA KWA YANAYOFANYWA NA WABUNGE WETU.
LA SIVYO KILA SIKU TUTAENDELEA KUWASHABIKIA HATA YALE MABOVU WANAYOYAFANYA. KAMA UMEMWONA MBUNGE WAKO NAYE KASHIRIKI KATIKA KUFANYA UJINGA HUU BASI AKIJA JIMBONI KWAKO MUULIZE YAKUWA NDICHO ULICHOMTUMA KUFANYA HUKO DODOMA???????????/
Post a Comment