HILI NDIO BASI JIPYA LILILONUNULIWA KWA AJILI YA KUWABEBA WACHEZAJI WA TAIFA STARS.


Ni basi aina ya Yutong lililonunuliwa na wadhamini wa Taifa Stars ambapo thamani yake ni zaidi ya Shilingi milioni 200, lina uwezo wa kubeba abiria 50, ndani kuna TV mbili za kisasa, muziki wa nguvu wenye spika nane, milango na mabuti ya kisasa, friji mbili na AC kama kawaida.
February 21 ndio litakabidhiwa kwa Taifa Stars.
.

Related

TAIFA STARS 4352962839221925087

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item