OMMY DIMPOZ KUTUA TABORA KWENYE REDS MISS TABORA 2013/14

MSANII OMMY DIMPOZI KUTUA MISS REDDS TABORA 2013/14
Sarahy Paul mshindi wa mwaka jana 2012


Mashindano ya Miss Redds Tabora kukujia tena kwa sura pevu zaidi, hii ni baada ya kufanyika mashindano kama haya mwaka jana na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa, sasa ni zamu nyingine yaliyonuwiwa kuwa na ubunifu wa kutosha kwa maandalizi kabambe yaliyofanywa tayari kuanzia sasa.
Nikiwasiliana kutoka SPAIN BARCELONA na muandaaji wa mashindano haya kwa miaka minne (4) sasa mfululizo toka akabidhiwe kutoka kwa muandaaji wa zamani Mbunge wa sasa mjini Tabora Mh. Rage chini ya V.O.T FM Mgalula Fundikira ambaye kwasasa ni wakala aliyepewa tena idhini ya kuyaandaa shindano hili kutoka kwa LINO INTERNATIONAL wenye hati na idhini ya kuandaa mashindano haya toka ngazi za vitongoji hadi mashindano makubwa ya MISS TANZANIA.

"....uwakala wangu unaendelea baada ya kuombwa na 

LINO INTERNATIONAL kuandaa tena mwaka
 huu na  sasa hivi na msanii Ommy Dimpoz na msanii atakaye mchagua yeye Dimpoz watakuwepo kutoa burudani ya kutosha..." 

Alisema Mgalula akiwa Spain Barcelona.
*************

Kuhusu form za ushiriki zitatangazwa mapema wiki ijayo wapi zitapatikana na taratibu zote za mashindano utapata kuzifahamu vizuri.
TIMIZA NDOTO ZAKO ZA KUIBUKA MREMBO WA MISS REDDS TABORA.

Nani ungependa awe msanii atakaye chaguliwa na Ommy D?


Habari Na http://www.aloyson.com/

Related

MREMBO WA CHUO KIKUU MZUMBE ATWAA TAJI LA REDD'S MISS HIGHER LEARNING MOROGORO 2013

Redd’s Miss Higher Learning Mkoa wa Morogoro, Anitha Mwakitwange(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili Rosemary Aloyce (kulia) na Mshindi wa Tatu Tarchisic Mtui mara baada ...

UZINDUZI RASMI WA SHINDANO LA "REDDS MISS TABORA 2013" WAFAANA NDANI YA UKUMBI WA FRANK MAN PALACE

AFISA UTAMADUNI MKOA WA TABORA BW. KATUNZI KATIKA UZINDUZI WA SHINDANO LA MISS TABORA 2013. MKALA AMBAYE NI M/KITI KAMATI MAANDALIZI YA SHINDANO, AKIELEZEA UFAAFU NA TASWIRA YA MABADILIKO YA...

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in weekRecentBLOG ZINGINE

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item