TID KUSHIRKI BIG BROTHER AFRICA 2013>>>>>Achukua Form Za Kujiunga Na Big Brother Africa - 2013

After All That was said and done, TID "Mnyama" amekuwa ni miongoni mwa ma-star wa Bongo aliyejichukulia form za kujiunga na shindano kubwa kabisa Africa, Big Brother Africa.
TID anaetamba sana kwa sasa na ngoma yake ya KIUNO akiwa na Cowwizzy a.k.a Ngwair amechukua form hizo tayari kuchukua nafasi ya kujichukulia kitita cha dola za kimarekani 300,000 endapo atashinda.
Earlier this week, star kutoka Bongo, Julio aliyewahi kushiriki shindano hilo pia, aliongea kwenye interview na redio moja ya Dar, na ku-suggest TID angefaa sana kushiriki shindano hilo maana ni mcheshi na ana vigezo vingi vitavyomuwezesha kushinda.
Ukiacha TID, mastar wengine waliochukua form za BBA ni Wema Sepetu na Q-Chief.

CHANZO: GONGAMx

Related

TID 5312105540141215279

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item