DIAMOND HASHIKIKI MIKOANI
https://menacotz.blogspot.com/2013/04/diamond-hashikiki-mikoani.html
Ni Juma Nature, Mr Nice na Profesa Jay pekee waliowahi kufurahia mafanikio
na kupendwa hivi anavyopendwa Diamond sasa
| Love ilitawala kwa mashabiki kufikia mimi kuvutwa chini na mashabiki ukumbini humo...!! kweli mashabiki wa BUKOBA walikuwa na mizuka...!! |
| Mikono Juu......wotee wotee....!! |
| Camera Man na mashabiki awakuwa nyuma kupiga picha za ukumbusho mahana historia mpya iliwekwa ndani ya jiji la wahaya.....!! |
| kwenye show viuno mbele mbele...... aghaaa mule mule...!! |
| Mambo ya kanga moja laki si pesa.....walikuwemo pia....!! |
| KITU ndembe ndembe...kanga mpya ailoi maji...... !! kit6u ndembe ndembe....!! |
| kitu mwake waacha weeee....agha ghaaaaaaaa .......laki si pesa milioni pocketman...!! |

Post a Comment