HIZI NI TETESI: WALIMU MISHAHARA JUU BAJETI YA 2013/14

https://menacotz.blogspot.com/2013/04/hizi-ni-tetesi-walimu-mishahara-juu.html
Nimetumiwa msg ktk simu yangu inasema, "Tetesi kutoka kikao kati ya bodi ya mishahara ya serikali na wakurugenzi wa halmashauri zote nchini; madaraja ya walimu yamerekebishwa, graduate ataanza na TGTS E kama laki 850,000/= na wataAdjust viseversa kama ulikua C utahamia D automatically na wa D watahamia E pia daraja H linasogezwa hadi J kama kada nyingine za utumishi. Ongereni sana". Mwenye kujua ukweli pls tujuze.
2 comments
Mhuuuu iyo pesa haitokaaa itolewe na tanzania hiii uijuayo ww mambo haya yanawezekkana upande wa ulinzi tuu
Aliyekutumia msg kwa nn asikupe uhakika acha kubahatisha ww
Post a Comment