KAJALA AMKUMBUKA WEMA KWA FADHILA ZAKE

>>>>ACHORA TATUU MGONGONI

Baada ya hivi karibuni Msanii wa filamu Bongo, Wema Sepetu kumlipia Kajala Masanja faini ya shilingi milioni 13 ili asiende jela kwa kesi iliyokuwa ikimkabili, Kajala ameamua kulipa fadhila kwa kujichora tatuu ya jina la Wema mgongoni mwake.
Akizungumza na Ijumaa juzi kuhusiana na uamuzi huo, Kajala alisema Wema amemfanyia kitu kikubwa sana kiasi kwamba amefikiria cha kumlipa bila majibu hivyo akaamua kujichora tatuu hiyo ambayo itamfanya amkumbuke daima.
“Kwa kweli Wema amenifanya kitu kikubwa sana, nyie wenyewe ni mashahidi. Nimefikiria nimlipe nini kwa fadhila zake hizo, nikakosa jibu na ndipo nikaamua kujichora tatuu hii ambayo haitafutika mwilini mwangu maisha,” alisema Kajala.

Related

WEMA SEPETU AAMUA KUTOKA KIMAPENZI NA "SERENGETI BOY" ILI KUMUUMIZA DIAMOND PLUTNUM

Wema Sepetu  ameamua  kuhamishia majeshi  yake  kwa  kiserengeti  boy  ili  kulipiza  kiasi  kwa X wake  wa zamani, DIAMOND..... Hu...

KAMA HUJUI HUU NDO MKOKO MPYA WA .WEMA SEPETU

Picha za Gari mpya  ya  Wema Sepetu aina ya Audi Q7 yenye rangi nyeusi zimeonekana kwenye akaunti ya Wema ya Instagram alipokuwa beach hivi karibuni na kuiandikia caption...

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in weekRecentBLOG ZINGINE

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item