FACEBOOK CHATTING --------------2

 

MWANDISHI: NYEMO CHILONGANI.

MAHALI: DAR ES SALAAM.

SIMU: 0718 069 269

Kwa kiasi fulani nikauhisi moyo wangu kuingia katika hali fulani hivi, najua wale ambao waliwahi kuwasiliana na wasichana kwa zaidi ya dakika themanini watakuwa wamekwishawahi kukutana na hali hii. Alikuwa msichana ambaye alikuwa wazi na wala hakutaka kujificha chochote kile. Aliniona kumvutia sana. MIMI: Asante sana japokuwa najiona kuwa mtu wa kawaida sana. MSICHANA: Wa kawaida? Labda kwako mwenyewe. Hivi nikuulize swali la kizushi? MIMI: Uliza tu. MSICHANA: Una msichana? MIMI: Yeah! Ninao. MSICHANA: Unao? MIMI: Ndio. MSICHANA: Wangapi? MIMI: Wengi tu. MSICHANA: Kama wangapi? MIMI: Ngoja kwanza. 1, 2, 3, 4. Kwa sasa ninao hao tu japokuwa wa 5 na wa 6 nipo kwenye process za mwisho. MSICHANA: Sawa. Hongera. MIMI: Asante. MSICHANA: (Kimyaaaaa)
ENDELEA KUSOMA HAPA>>>>>>>>>>>>

Related

HADITHI 4182124126697721658

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item