MWAKA WA TATU SAUT TABORA (AMUCTA) WATAHARUKI WAKATI WAKISAINI BOOM LEO

>>  WASHANGAA KUKOSEKANA KWA FEDHA ZA RESEARCH
>> MUGO AKOSA LA KUSEMA


Leo hii wanafunzi wa Chuo kikuu cha Mt. Augustino tawi la Tabora (AMUCTA) wamesaini tayari kwa kupata boom lao la awamu ya nne kwa mwaka huu wa masomo 2012/13. wengi wamejitokeza kusaini Boom lakini ajabu na kweli ni pale wanafunzi wa mwaka wa tatu BAED walipoenda kusaini huku wakikosa hela zao utafiti (RESEARCH). Wengi wao walitarajiwa kuwa awamu hii ya BOOM hela ya research ingeambatanishwa.Kutokana na hali hiyo MeNaco.com iliongea na afisa mikopo wa chuo hiki bwana Mugo ili kutaka kujua ni nini chanzo cha kushindwa kuja kwa hela za research ili kuna uhakika wa baadhi ya vyuo vishiriki vya SAUT vimewekewa hela zao za Research: alijibu huku akiwa kama kwenye utani yakuwa "kwani nyinyi hamtaki hela za nauli?" kauli hii ilikuwa na maswali mengi kwamba je ni chuo ndio hawajataka iwekwe ili waweze kupewa kama nauli(mwishoni mwa semister) au ni HESLB ndio hawajaweka?

hata hivyo wanafunzi wengi wa mwaka wa kwanza mpaka wa tatu wameitikia kwa ukaribu sana zoezi la kusaini ili kuwekewa hela zao za mikopo.

OMBI LANGU
Mwaka wa tatu watulie kwani hizo hela zitakuwepo salama ili pengine ni utaratibu tu ndio unasubiriwa ili waweze kuwekewa kulingana na jinsi bodi ya mikopo inavyopangilia kutoa hela zao za research. na ikumbukwe kuwa nyinyi ndio  wa kwanza kufika mwaka wa tatu hivyo ni ugeni huu ndio unaweza kukuletea taharuki lakini naamini kuwa kila kitu kitakuwa sawa

MATUMIZI MEMA YA PESA

Related

AMUCTA 6875541060609656958

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item