Clouds Media Group ndio waliomfungulia kesi LAD JAY DEE




Taarifa  ambazo bado hazijatolewa hadharani ni kwamba  Clouds Media Group imeamua kumfungilia mashitaka mwanadada  Judith Wambura amabye anajulikana kwa jina  ‘Lady Jaydee’. 

Clouds Media wameamua kufungua  mashitaka hayo baada ya Lady Jaydee kuongea kauli mbaya ambazo hasa zilikuwa zinawalenga maboos  wakubwa wawili wa juu wa wa Clouds Media Group ambao ni Mkurugenzi Mtendaji , Joseph Kusaga na Mkurugenzi wa Utafiti na Maendeleo, Ruge Mutahaba katika mitandao ya kijamii hivi karibuni. Lady Jaydee anatakiwa kuripoti  Mahakamani kukabiliana na tuhuma hizo endele kuwa nasi tutakujuza kinacho endelea huko.

Related

JAY DEE 6573883660762689888

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item