DIMPOZ AWAOMBA RADHI MASHABIKI NA WATANZANIA KWA KUMKASHIFU MAREHEM NGWAIR

Kupitia Account ya Facebook msanii wa bongo fleva na mshindi wa tuzo tatu za Kili Tanzania Music Awards 2013 Ommy Dimpozi amewaomba watanzania wote ambao walikerwa na kuchukizwa na maneno yake juu ya kifo cha msanii wa Kizazi kipya Marehem Albert Mangwair.

Ommy Dimpoz alikaririwa kuwa "Hataki kufa masikini kama ngwair" wengi walinshambulia sana Dimpoz kwa kauli yake hiyo. Nusu saa iliyopita aliandika hiki kwenye account yake ya facebool

"Ommy Dimpoz

Samahani tena sana na
sitawacha kuomba
msamaha,nimekubali makosa
na hivi sasa naelekea
nyumbani kwao kuomba
msamaha kwa familia na nitue
kwa vituo vya radio kuomba
msamaha kwa wabongo na
wote niliowaudhi.samahani
sana na nakubali mimi si mtu
bila nyinyi na sikuongea
kuhusu legend Ngweir kwa ila
mbaya.One Love."

Related

OMMY DIMPOZ 1867619152096854657

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item