ISCO ATUA MADRID

Bernard kamilius Membe, leo tarehe 16,07,2020 amewahutubia wanachama wa ACT WAZALENDO, amelitangazia taifa kuwa yeye ni Rasmi ni mwanachama wa ACT WAZALENDO. akiwahutubia wanachama wa ACT na kuwap...
KLABU ya Manchester United imezipiku Bayern Munich na Real Madrid na kurejea kileleni katika orodha ya klabu zenye thamani kubwa kwenye ulimwengu wa soka, kwa kufikisha utajiri wa dola za Kimarekani ...
Kinda wa Malaga ISCO hatimaye ameikacha Manchester City na kujiunga na Real Madrid. Wengi walifikiri Isco ataambatana kocha wake wa zamani Pelligrin ambaye kwa sasa ni kocha wa Man City. Isco atafanya vipimo tarehe tatu na kutambulishwa rasmi siku hiyo.
Post a Comment