ITALY YAIVURUMISHA URUGUAY

https://menacotz.blogspot.com/2013/07/italy-yaivurumisha-uruguay.html
Italia bila ya Pirlo leo imeifunga timu ya Uruguay kwa jumla ya penalti 3-2. Timu hizi zilifikia hatua ya matuta baada ya kwenda sare kwa magoli 2-2.
Hivyo hadi mwisho wa mpira Italy waliibuka washindi wa tatu kwenye kombe la mabara.
Post a Comment