MOYES AANZA VIZURI KIBARUA CHAKE NA MAN UNITED, AIPIGA SWANSEA 4-1,

Kocha mpya wa Manchester United ameanza vuzuri kibarua chake baada ya timu kuichapa bila huruma Swansea City kwa jumla ya magoli 4-1.
Manchester United iliyokuwa ugenini ilifungulia ligi ya Epl kwa magoli mazuri ya ROBIN VAN PERSIE & DANY WELBECK ambao kila mmoja alifunga magoli mawili.
Rooney aliyeingia dakika 28 kabla ya mechi kwisha alitoa pasi mbili za magoli kwa RVP & WELBECK. Hata hivyo Rooney hakuwa na furaha, pengine ni juu ya suala la usajiri.
Huu ni mwanzo mzuri kwa Moyes kwa kushinda ugenini.
Post a Comment