BARCA, ARSENAL, MILAN NA NAPOLI ZAUA, CHELSEA, AJAX, DORTMUND ZAPIGWA LIGI YA MABINGWA ULAYA

CHELSEA jana usiku ilionja joto la Basel ambalo Man United ililipata kwenye michuano ya Europa mwaka juzi baada ya kulazwa darajani kwa jumla ya 1-2, huku Barca ikiibamiza AJAX kwa 4-0, Arsenal nayo imeivurumisha Marseille ya Ufaransa kwa goli 2-1, na Milani ikiwa san Siro imibuka na ushindi wa goli 2-0. Napoli iliishangaza BVB kwa kuitundika jumla ya goli 2-1.



Related

UEFA 8574411863516592556

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item