BREAKING NEWZ: ADNAN JANUZAJ AJIFUNGA MAN UNITED, ASAINI MIAKA MITANO KUKIPIGA OLD TRAFORD

Chipukizi machachari wa Manchester United, Adnan Januzaj ambaye  uwezo wa kusakata kambumbu ulizishitua timu kubwa ulaya, na wakaanza kummezea mate mara tu baada ya kuipatia point tatu muhimu Manchester United dhidi ya SUNDERLAND.

Timu zilizowania saini yake ni pamoja na BARCELONA, JUVENTUS & MANCHESTER CITY. Timu hizi ziliwania saini yake maana mktaba wa Januzaj ulikuwa unamalizika muda wake mwisho mwa msimu, hata hivyo Januzaj (18) amemaliza ubishi kwa kusaini mkataba mpya utakaomuweka OT kwa miaka mitano ijayo.

JANUZAJ mwenyewe amesema baada ya kusaini kuwa: " Nimeamua kuitumikia Manchester United, nakuhakikisha naipatia mafanikio timu na kuwa mchezaji bora nikiwa Manchester United".

Good Lucky Januzaj

Related

USAJILI 372168106175699233

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item