LEO NI LEO VODACOM MISS TANZANIA 2011 TABORA ROYAL GADERN

kile kinyang'anyiro lichosubiriwa kwa hamu na wapenzi wa tasnia ya urembo hapa tabora leo ndio leo. kwani leo hii wapenzi wa maswala ya urembo hapa tabora watawashuhudia warembo wakipanda jukwaani pale kwenye ukumbi wa Royal gadern ili kumsaka mwakilishi wa vodacom miss Tanzani kupitia mkoa wa Tabora. kwa habari za uhakika ni kwamba tayari ma-miss wote wamjiandaa vya kutosha baada ya kufanya mazoezi ya takribani wiki tatu sasa, na jana jioni walikuwa katika hotel maarufu ya kioso kumalizia baadhi ya mambo kabla ya kuingia jukwaani hapo leo. mmoja wa mtu wa karibu kabisa na mshiriki alipoulizwa na blog hii makini kabisa alisema kuwa ndugu yake ama rafiki amejiandaa vya kutosha kwani ameshafanya shoping vitu vyote ambavyo walipaswa kuwa navyo na amekuwa akijiamini sana nakuamini kuwa ndugu yake huyo ataibuka na ushindi hapo leo.
       hata hivyo shindano hili limeshika kasi hapa tabora kwani karibia kikla mtu mdau wa urembo anahamu ya kwenda kushuhudia shindano hilo, kwa upande wa ticketi inaonekana watu wamenunua ticketi nyingi na sehemu za kuuzia ticketi zilikuwa nyingi. shindano hili ambalo litahudhuri au litapendezeshwa na wasanii mbalimbali wa hapa Tabora na wengine wengi wakitokea dar. sasa yetu masikio na macho yakuona nani atatangazwaa mshindi ahpo usiku wa leo. fuatilia matokeo hapahapa MICHAPO.

Related

free to all 1544693602434361282

Post a Comment

ads by blogger

Follow Us

Hot in week

BLOG ZINGINE

BLOG OWNER

BLOG OWNER
MESHACK JACKSON

Side Ads

Instagram

JOIN US ON TWITTER

Text Widget

Millard Ayo – Official Website

item